GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Kuagiza itakua ngumu naona maana iyo bei ya SUV za kawaida tu.Sina uzoefu ila 40M kwa chuma cha ukweli kutoka hizo nchi ni ngumu.
Isanga family Mad Max Mshana Jr PureView zeiss mtusaidie
Kwa kuagiza hapo labda South, mwamba Isanga family mzoefu wa uko.
NimeshafikaSina uzoefu ila 40M kwa chuma cha ukweli kutoka hizo nchi ni ngumu.
Isanga family Mad Max Mshana Jr PureView zeiss mtusaidie
Chukua D/C make ya TOYOTA hutajutaUshauri wako tafadhali!
Linahitajika gari la masafa marefu linalomudu safari za mashambani. Route zake ni kama vile:
1. Mwanza - Arusha
2. Arusha - Njombe
3. Njombe - Mtwara
4. Mtwara - KASULU
5. Kasulu - Mwanza
6. N.k.
Kama nilivyoandika, safari nyingi nibza mashambani, kwa hiyo ni muhimu liwe gari la juu. Double cabin pick up inaweza kuwa bora zaidi lakini si lazima liwe double cabin pick up! Hata
Je! Gari lenye hizo sifa linaweza kupatikana kwa bei isyozidi milioni arobaini na tano?
1. Ni salama kununulia kwa mtu?
2. Milioni arobaini na tano zitatosha kuagiza kutoka Japan au Afrika Kusini?
3. Aina gani hasa linalomudu barabara za mashambani?
Asanteni🙏🙏🙏
Msaada unahitajika kwenye post ya mwamba hapaNimeshafika
Achukue Toyota Double cabin hizo ndio ndio gari za kaziMsaada unahitajika kwenye post ya mwamba hapa
Kodi 20m kuendelea mpaka 26m anunue bei gani na lifike kwa 40m na kumbuka hiyo pesa inabadilishwa kwa karibu Nchi tatu toka rand,pula na kwatcha kwa gharama za huko Toyota kodi zipo juu..Achukue Toyota Double cabin hizo ndio ndio gari za kazi
Mkuu hizo hilux chungulia kikokotoo cha TRA na mwaka wake uone TRA watachukua ngapi kwa gari zenye soko kubwa na imara wao ndio wameweka kodi kubwa ila gari mbovu mbovu kodi ipo chini..Ishi na HiLux