Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express.
Tanzania bado sana aiseee
Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva ukaombe msaada wa kituo
 
Shida ni moja. Magari yote yanakuja yameandikwa Express sasa utakuta mtu anashukia magomeni kagera anasubiri la kila kituo halioni, anasubiri la ubungo halioni sasa akae hapo apoteze muda? inapidi apande express amuombe dereva amshushe Magomeni kagera. Mabasi ya Kivukoni - Ubungo na Gerezani - Ubungo ambayo yanashusha kila kituo ni mawili yaani la kivukoni liko moja na gerezani moja. sasa abiria wafanyaje? I
 
Moja ya changamoto kubwa sana dsm ni usafiri,,,,, !! Kama huna usafiri binafsi ni kimbembe! Hapa ndipo wa mkoani wanapochukulia point zote tatu !
 
Moja ya changamoto kubwa sana dsm ni usafiri,,,,, !! Kama huna usafiri binafsi ni kimbembe! Hapa ndipo wa mkoani wanapochukulia point zote tatu !
Una usafiri lakini kimbembe cha traffic jam kinakutia adabu, air-conditioning ndiyo kitu kitakachopunguza machungu ya adha za msongamano wa foleni ya magari barabarani.
 
Back
Top Bottom