Una usafiri lakini kimbembe cha traffic jam kinakutia adabu, air-conditioning ndiyo kitu kitakachopunguza machungu ya adha za msongamano wa foleni ya magari barabarani.Moja ya changamoto kubwa sana dsm ni usafiri,,,,, !! Kama huna usafiri binafsi ni kimbembe! Hapa ndipo wa mkoani wanapochukulia point zote tatu !
Neno "Express" limekuwa AfrikanizedInakuwa haina maana