Elections 2010 Gari la Prof. Lipumba Bovu?

Elections 2010 Gari la Prof. Lipumba Bovu?

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,324
Reaction score
17,846
Wakuu, nimekuwa nikifuatilia habari za mikutano na misafara ya mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Mh Prof Lipumba,

sasa ambacho nimekiona kwa siku mbili hizi mfululizo zilizopita (jana na juzi) ni kwamba anatumia Prado mayai, ambayo kwa mawazo yangu sidhani kama ni the best car kwa barabara zetu hasa za kusini, mara mbili hizi TBC wanaonyesha kwanza kakipande ambapo boneti limefunguliwa, kwamba eti ni kash kash za njiani

Ushauri wangu ni kwamba ataufte gari nyingine ngumu zaidi, sidhani kama CUF pamoja na ruzuku yote wameshindwa kununua walau gari moja imara la mgombea urais

Of course wengine wanaweza kusema mbona ya JK yaliharibiki, kwamba ni kawaida ya magari nk, lakini nadhani kwenye kampeni kama hivi anahitaji kila sekunde kuongea na wananchi!
 
Back
Top Bottom