So madawa yaliisha? Mimi jiwe alichofanya vizuri though kwa expense za nyongeza za mishahara, ukosefu wa ajira na kunyanganya wafanyabiashara pesa zao ni miundombinu tu, ila kwa asilimia kubwa jamaa alikuwa janga la Taifa. I personally and really thank God kwa kuingilia kati. Let his soul rest in hell.
Nyumbu wenzio wanatubu kila siku kwamba Magufuli alikuwa jembe
Mama yeye anajipigia kampeni tuu ...hatarii sana hii.Mkuu, shida ya haya mambo watu sasa wamejiachia wako huru....
Mama yeye anajipigia vijembe tu wala hana habari na sensitive issues kama hizi.
Hizi biashara haramu isipokugusa wewe wewe, basi kuna ndugu yako inaweza kumuathiri.
Tunahitaji sana neema ya Mungu katika hili
Huyu mama ni mbwembwe Tu mambo hayawezi
Serikali ni kubwa sana na magari ni mengi sana ila likitajwa namba zake litajulikana ni la ofisi gani na kutoka mkoa au wilaya gani !!
Fafanua
MIRUNGI au BANGIGazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.
My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.
Nyongeza vigogo wote waliokuwa ndani wametoka nje na kesi zao zimefutwa unategemea nini .hafai kupongezwa maana dawa za kulevya zinaingia kama mafuta ya kupikia yanavyoingia kwa wingi
Ilitakiwa baada ya kuliuza gari hilo serikali ichukue vibao vyake vya namba na kuvihifadhi wa ile mamlaka ya kuharibu vifaa na data za serikali ili viharibiwe“Hiyo gari ilikamatwa ikiwa na plate namba STK 5211 ikionyesha ni gari ya Serikali, uchunguzi ulifanyika na cha ajabu kwenye vioo vilionyesha vimegongwa namba STJ 1972 ambazo ni tofauti na zilizokuwa zimebandikwa,” ilidaiwa.
“Bahati nzuri ndani ya hiyo gari kulikuwa na kadi yake ambayo sasa ilionyesha namba zake halisi za binafsi kuwa ni T 404 CMF na tulipochunguza TRA (Mamlaka ya Mapato) tulibaini huyu mtumishi huyo alilinua kwenye mnada,” ilielezwa.
Hii si poa kabisa.