Yaani watu mnapenda sana Political Drama...
Niliwahi kuhoji hapa JF lakini sikuwahi kujibiwa kwamba:-
1. USA na DEA yake yote ambayo imejaa well trained military officers, lakini wameshindwa kudhibiti mihadarati
2. China na Iran ukikamatwa na mzigo inakuwa ndo mwisho wa uhai wako... bado watu wanapeleka drugs hadi huko!
3. Europe, kote huko wana raslimali za kutosha... kuanzia tech hadi well trained military personnels lakini hadi kesho watu wanaingiza drugs Europe!!
Akina nyie, Makonda kwenda kwenye TV na kutangaza wauza ngada ndo tayari mnaamini alidhibiti mihadarati!
Hivi katika wale ambao aliwatangaza, ni wangapi waliweza kuhukumiwa?! Hivi unaamini kabisa biashara ambayo mtu inamwingizia billions anaweza kuiacha kirahisi rahisi tu?