Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

Nawaza tu hapo ukute dereva anasafiri mwenyewe ameamua ngoja achukue abiria wawili watatu hivi apunguze makali ya maisha kumbe amepakia mapusha ambao wanafuatliwa muda mrefu na wanausalama aisee hilo ni balaa zito.
 
MUNGU inusuru Tanzania[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, shida ya haya mambo watu sasa wamejiachia wako huru....
Mama yeye anajipigia vijembe tu wala hana habari na sensitive issues kama hizi.
Hizi biashara haramu isipokugusa wewe wewe, basi kuna ndugu yako inaweza kumuathiri.
Tunahitaji sana neema ya Mungu katika hili
 
Nawaza tu hapo ukute dereva anasafiri mwenyewe ameamua ngoja achukue abiria wawili watatu hivi apunguze makali ya maisha kumbe amepakia mapusha ambao wanafuatliwa muda mrefu na wanausalama aisee hilo ni balaa zito.
Asingekimbia kama hakujuwa content ya mzigo huo.
 
mbona wakikamatwa hatupati mrejesho wa mahakama wamefungwa au faini maana nakumbuka wanajeshi walikamata baharini kilo 1000 za dawa za kulevya mtwara walikuwa wapakistan lakini mpaka leo kimya
Halafu kwanini hawataji namba za Hilo gari? Hawataji namba au ni la office ya mheshimiwa?
 
IMG_4317.jpg
 
Nawaza tu hapo ukute dereva anasafiri mwenyewe ameamua ngoja achukue abiria wawili watatu hivi apunguze makali ya maisha kumbe amepakia mapusha ambao wanafuatliwa muda mrefu na wanausalama aisee hilo ni balaa zito.
Kilo 400 za madawa ni nyingi sana, hizo ni za watu wazito sana na zenye kuwa na tracking ya hali ya juu haiwezi kutokea kusafirishwa kizembe hivyo.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena.
Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.View attachment 2107438
Gari la serikali linamilikiwa na nani jamani?
 
Sio rahisi hivyo mkuu, lazima sheria ichukue mkondo wake na huyo kijana aliyekimbia na huo mzigo lazima atakamatwa aje atueleze ni nani huwa anamtuma kumsafirishia huo unga
Kwani lile jahazi lililokamatwa wakati wa uchaguzi lilipelekwa wapi na watu hao wako mahakama gani?
2 na lile bomba lamafuta la kigamboni ni nani alikua anaiba yale mafuta na mpaka sasa wamefikishwa wapi?
 
Alielimbia ni mmiliki wa gari ama mmiliki wa ayo madawa? Lugha ina utata sana.

Sasa hapo ni huo mzigo tu ndio umekamatwa jiulize ni madawa kiasi gan yamesambazwa kwa njia hiyo?
 
Back
Top Bottom