nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Wizi wa mafuta na madawa ya kulevya wapi na wapi boss wangu?Kwani lile jahazi lililokamatwa wakati wa uchaguzi lilipelekwa wapi na watu hao wako mahakama gani?
2 na lile bomba lamafuta la kigamboni ni nani alikua anaiba yale mafuta na mpaka sasa wamefikishwa wapi?