Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hii ishu na picha ni ya miaka iliyopita
Oktoba mwaka jana 2018.Hii ishu na picha ni ya miaka iliyopita
Unategemea walipwe nani kuliko kujilipa wenyewe......nyie mwendelee kulala na kupigana wakati wazungu wana pora mali zenu katika jina la kulinda amani....Africans are cursed buzy in religious and tribal wars killing their brothers and sisters
.Hii imetokea CONGO
Acha uongo, iyo gari nikwaajili ya doria na ivyo viroba si madini, ni viroba vya mchanga kwaajili ya kuwekea silaha ya msaada apo juu ya gari, au kwaajili ya kujikinga na risasi za mojakwamoja za adui sasa ayo madini yako wapi?