Gari la UN lapata ajali likiwa limebeba madini

Gari la UN lapata ajali likiwa limebeba madini

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,784
Reaction score
13,642
Hii imetokea CONGO


IMG-20190212-WA0027.jpeg

========
Gari la Umoja wa Mataifa limepinduka huko Congo na inaripotiwa lilikuwa limebeba madini haramu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona nchi yenye askari wa UN au majeshi ya Ulaya wakaingia bila kuiba

Hawa jirani pia wameona mkaa dili na sukari

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kama ni habari ya muda, ya mwaka Jana .....so what!!!!....haibadilishi ukweli wa habari!!
 
Back
Top Bottom