Gari la utangazaji (ob van) la Azam Media Group limeharibiwa wakati wa mechi Nairobi United FC dhidi ya Gor Mahia

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Azam Media Group inalaani vikali matukio yaliyojitokeza leo katika Uwanja wa Dandora, jijini Nairobi, Kenya, wakati wa matangazo ya moja kwa moja ya mechi kati ya Nairobi United FC dhidi ya Gor Mahia FC iliyochezwa saa 10:00 jioni, ambapo gari la utangazaji (OB Van) limeharibiwa na vifaa mbalimbali kuharibiwa.

Wakati Azam Media Group ikiendelea kujitahidi kuinua na kuunga mkono maendeleo ya Ligi Kuu ya Kenya kwa kuhakikisha ligi hiyo inaonekana kwa kiwango cha juu kupitia matangazo ya moja kwa moja, matukio kama haya ya uharibifu wa mali si tu yanarudisha nyuma juhudi hizo bali pia yanaonesha taswira mbaya ya Ligi Kuu ya Kenya.

Azam Media Group inahakikisha usalama wa hali ya juu kwa wafanyakazi wake wa uzalishaji, na tunafurahi kutoa taarifa kwamba hakuna mfanyakazi yeyote aliyejeruhiwa katika tukio hili.

photo_2025-12-23_22-03-59.jpg
 
Ni nani huyo anayeluhusu bange za Arusha zinapenya mpakani hadi zinafika Nairobi na kusababisha maafa, kutakuwa na usaliti mkubwa uliopo ndani ya vyombo vya ulinzi nchini.
 
Kenya ni zizi la mbuzi, jamaa Wana stress sana za maisha, future hawaioni,chuki kwa kila mtu,ubinafsi wa kihayawani
 
Semeni na huko ni udini, ishakuwa kawaida yenu kukimbilia udini, wapuuzi nyie
 
Azam Media Group inalaani vikali matukio yaliyojitokeza leo katika Uwanja wa Dandora, jijini Nairobi, Kenya, wakati wa matangazo ya moja kwa moja ya mechi kati ya Nairobi United FC dhidi ya Gor Mahia FC iliyochezwa saa 10:00 jioni, ambapo gari la utangazaji (OB Van) limeharibiwa na vifaa mbalimbali kuharibiwa.

Wakati Azam Media Group ikiendelea kujitahidi kuinua na kuunga mkono maendeleo ya Ligi Kuu ya Kenya kwa kuhakikisha ligi hiyo inaonekana kwa kiwango cha juu kupitia matangazo ya moja kwa moja, matukio kama haya ya uharibifu wa mali si tu yanarudisha nyuma juhudi hizo bali pia yanaonesha taswira mbaya ya Ligi Kuu ya Kenya.

Azam Media Group inahakikisha usalama wa hali ya juu kwa wafanyakazi wake wa uzalishaji, na tunafurahi kutoa taarifa kwamba hakuna mfanyakazi yeyote aliyejeruhiwa katika tukio hili.

View attachment 3519670
Hakuna sababu ya kwanini wamefanya hivyo?
 
Kihere here TU habari za hapa nchini zenyewe wanashindwa kubalance stori ni hizo za jirani wataweza

Wamwite Rostam au warushe habari za ccm ndo wanaziweza
 
Back
Top Bottom