Gari la Xiaomi?

Gari la Xiaomi?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
inbound5404334262226040550.jpg
 
Kwahiyo Xiaomi watakuwa kila mahali, wanatengeneza kila kitu kuanzia cm mpaka magari ila hata apple walisema watatengeneza electric cars... hapo kwenye kuhusu bei sitaki hata ku_imagine
Wachina eneo la bei wanaliweza maana wanacheza na kichwa cha mteja. Kama kina sisi uchumi mdogo na mazoea ya kupenda vya chee,tutaletewa vya saizi yetu.
 
kwa bei wanaletaga bei affordable ila durability ndio sijui, bei ghari nlkuwa nasemea apple hiyo gari yao ya electric itakuwa bei ambayo haina kikomo
 
Mbona iyo gari kama ford mustang mach e gt ayo ma logo yamepachikwa tu hapo
 
Ethiopia?
Ethiopia vitz tu ama vigari vidogo vidogo vinaweza fika milioni 40, hivyo inabidi wanunue gari za Kichina zinazotengenezwa ndani, ambazo nyingi hazidumu na sio nzuri kama Used za kijapan

aah nimekupata mkubwa[emoji106]
 
Ethiopia vitz tu ama vigari vidogo vidogo vinaweza fika milioni 40, hivyo inabidi wanunue gari za Kichina zinazotengenezwa ndani, ambazo nyingi hazidumu na sio nzuri kama Used za kijapan

Nimesoma hiyo article, kumbe bongo tuna unafuu sana jamaa anasema “One of its cheapest saloon models costs about $20,000 new.”
 
gari nafuu tayari japan aliishatuweza.

tena sio nafuu tu ila zinafaa sana.
 
Ethiopia vitz tu ama vigari vidogo vidogo vinaweza fika milioni 40, hivyo inabidi wanunue gari za Kichina zinazotengenezwa ndani, ambazo nyingi hazidumu na sio nzuri kama Used za kijapan

Kodi kubwa kudadeki
 
Back
Top Bottom