Habari za Muda huu wadau.
Mimi nina gari aina ya BMW X3 kwanza ninapotembea barabarani zaidi ya spidi 60 mpaka 80 lina shake sana mpaka ile vibration naisikia kwenye Sterling.
Lakini inapofika spidi 100 linakuwa stable vivyo hivyo ninapoongeza mpaka 120 na kuendelea linarudia tena ku-shake kwa nguvu sana.
Hivyo nawaomba wajuzi wanipe elimu kidogo maana Mimi si mtalamu wa hivi vyombo vya moto.
Karibuni.