Gari langu lainatatizo la kutikisika (shake) nikitembea kuanzia spidi 60

Gari langu lainatatizo la kutikisika (shake) nikitembea kuanzia spidi 60

Q-liner

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
345
Reaction score
639
Habari za Muda huu wadau.

Mimi nina gari aina ya BMW X3 kwanza ninapotembea barabarani zaidi ya spidi 60 mpaka 80 lina shake sana mpaka ile vibration naisikia kwenye Sterling.

Lakini inapofika spidi 100 linakuwa stable vivyo hivyo ninapoongeza mpaka 120 na kuendelea linarudia tena ku-shake kwa nguvu sana.

Hivyo nawaomba wajuzi wanipe elimu kidogo maana Mimi si mtalamu wa hivi vyombo vya moto.

Karibuni.
 
Salama mkuu,

anza na ukaguzi wa vitu basic kama Wheel alignment & balance.Then kagua mounting za Gear Box na Engine.Halafu kama imewahi kuongezwa urefu (suspension) inaweza kuchangia.
 
Haya magari ya zamani ndio shida yake hii. Linakuwa na error then ikiwa tatizo basi jua ni msululu wa majanga hapo.

Ila gari za miaka ya karibuni unakuta linakuwekea system ya computer inayokupa taarifa hata kwa issue ndogo tu kwenye tairi kama rotation kupishana.

Sasa wengi hii kitu huwa hawajui. Ila gari ya kisasa huwa inakuwa na mfumo unaokwambia shida mapema kabla haijawa tatizo kubwa la kukugharimu.
 
Back
Top Bottom