UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Alikagua akaanza kusema mambo mengi zaidi ya kumi mnooo nikamzuga akaondoka kwanzaFundi Umemuona Akague Battery Na Mfumo Wa Ufuaji Umeme Wa Gari
Yes inawezekana Ila nilimshirikisha jamaa yangu aliyetangulia kuwa na magari miaka mingi akapima local kwa spana akasema iko vizuri kwa kuwa inanasa kama inasumaku sasa sijajua hapa imekaajeAlternator haiçhaji betri
Je gari ikishawaka inatumia betri tena kwa kuwa nataka labda ninunue betri itakuwa imekufa ndo inapelekea kuzima kwa kuwa pia betri yangu ikikaa zaidi ya SAA tano gari ikiwa off inakuwa imenyonya piaTafuta fundi akague mfumo wako wa ufuaji umeme, maana kwa haraka haraka hapo inaonekana gari yako haijaji betri ndo maana inapelekea gari kuzima kwa kuwa betri inakuwa imeisha chaji kabisa.
Kabla ya kununua betri jirizishe kwanza na mfumo wako wa kufua umeme. Unapo washa gari kuna baddhi ya vitu vinatumia umeme kutoka kwenye betri kama vle taa, honi n.k, ndo maana gari hata ikiwa imezima ikiwasha taa zitawaka na ukipiga honi itapiga vile vile, pia gari kama haichji vizuri au betri ikiwa mbovu hata muungurumo hubadilika vile vile pamoja na kukosa nguvu.Je gari ikishawaka inatumia betri tena kwa kuwa nataka labda ninunue betri itakuwa imekufa ndo inapelekea kuzima kwa kuwa pia betri yangu ikikaa zaidi ya SAA tano gari ikiwa off inakuwa imenyonya pia
Asante sana nitayafanyia kazi soonKabla ya kununua betri jirizishe kwanza na mfumo wako wa kufua umeme. Unapo washa gari kuna baddhi ya vitu vinatumia umeme kutoka kwenye betri kama vle taa, honi n.k, ndo maana gari hata ikiwa imezima ikiwasha taa zitawaka na ukipiga honi itapiga vile vile, pia gari kama haichji vizuri au betri ikiwa mbovu hata muungurumo hubadilika vile vile pamoja na kukosa nguvu.
Ina naiman kuwa betri yako ndo mbovu, ukitaka kuthitisha hilo azima betri hata kwa mtu halafu utembelee kidogo, ukiona haizim ujue shida n betri yako, unajua hata gari ukiqasha halafu utoe betri haizimi ila ukikanyaga mafuta hala ukaachia basi lazima izime, vinginevyo uendeshe na miguu miwili ili mmoja uwe kwenye brake na mwingine kwenye mafuta,Asante sana nitayafanyia kazi soon
Asante kiongozi nitalifanyia kazi soonTafuta fundi akague mfumo wako wa ufuaji umeme, maana kwa haraka haraka hapo inaonekana gari yako haijaji betri ndo maana inapelekea gari kuzima kwa kuwa betri inakuwa imeisha chaji kabisa.
Ndo nini hiyo kiongozi bado Mimi siyo mzoefuAngalia distributor ndo inaelekea kufa hvo
Maji husababisha pia kiongozi gari kuzima mbona langu huzima wakati situmii mafuta nikiwa napanda mlima halizimi ?Niliwahi kupata tatizo hilo, Kwa uoande wangu ilikuwa radiator ya maji ina tundu, maji yalikuwa hayamo,
Jaribu kucheki kama kuna maji kwenye radiator
Asante kiongozi nitalifanyia kazi soon
Ina naiman kuwa betri yako ndo mbovu, ukitaka kuthitisha hilo azima betri hata kwa mtu halafu utembelee kidogo, ukiona haizim ujue shida n betri yako, unajua hata gari ukiqasha halafu utoe betri haizimi ila ukikanyaga mafuta hala ukaachia basi lazima izime, vinginevyo uendeshe na miguu miwili ili mmoja uwe kwenye brake na mwingine kwenye mafuta,
Hivyo bac, inaonekana betti lako linaporeza kabisa moto ndo maana ukiachia mafuta gari inazima.
MazingiraPeleka gari na ukafanye Computer diagnosis itakueleza tatizo lipo wapi achana na mafundi chini ya mwembe, tena unaweza ukawaita hata nyumbani kwako wakachunguza tatizo liko wapi sio lazima uende garage kwao
Silence iko sawa kabisa bosssilencer ipo chin.tafuta fundi aipandishe.