Gari laniumiza mgongo

Gari laniumiza mgongo

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Habari zenu wakuu.

Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari.

So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua hili tatizo
 
Pole mkuu...hua unaendesha safari ndefu au hata kwa misele ya kawaida tu? Jaribu kuadjust kiti na namna ya ukaaji huenda ikasaidia..kama unakaa mbali na usukani jaribu kusogea karibu.. na kiti kinyooke kisilale
 
Habari zenu wakuu
Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari
So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua hili tatizo

Unajua kustay stil muda,mrefu huleta shida
 
Yani hali hii hunikumba hata km nikiwa na misele ya hapa na pale
 
Shughuli zako ni kukaa muda mrefu? Vp shemeji yetu home anakuhudumiaje mkiwa kitandan usije kukuta unajipinda mithili ya Messi ili "kumkomesha" maana wangoni/wakwere ndo zenu
 
Kama una uwezo nunua mercedes benz s class 2014 and above iwe inakupa massage while driving
 
Shughuli zako ni kukaa muda mrefu? Vp shemeji yetu home anakuhudumiaje mkiwa kitandan usije kukuta unajipinda mithili ya Messi ili "kumkomesha" maana wangoni/wakwere ndo zenu

Ha ha ha ha we jamaa bhana...
 
Matatizo mengine husababishwa na kutokuwa na tabia ya kutofanya mazoezi...fanya mazoezi ya viungo mkuu.
 
Habari zenu wakuu
Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari
So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua hili tatizo

Hii ni sawasawa na kusema. HUA NIKILA PILIPILI NAWASHWA SANA, NIFANYEJE ?
Kumbe unajua ukiendesha gari unapata maumivi. kwani lazima uendeshe ? Sio lazima uendeshe gari kuna daladala hususan kila mji Tanzania wala si dhambi kupanda taxi. Ama unataka mpaka ushindwe na shughuli za usiku kisa uonekane kitaani ukiendesha gari bovu ? sorry used ?
 
Habari zenu wakuu
Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari
So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua hili tatizo

Kuna ndugu yangu mmoja alianza hivyo hivyo maumivu ya mgongo karibu na kiuno yeye akadhani ni kwa sababu ya kuendesha gari. Baadaye maumivu yalianza kuzidi hata asipoendesha gari na akaanza kutibiwa hospitali mbalimbali hadi kwa Wachina. Maumivu yalipozidi akapewa mkanda fulani hivi anauvaa una-cover mgongo wote.

Baada ya kuona maumivu hayaishi na muda mrefu ametumia dawa za aina mbalimbali aliandikiwa aende MOI Muhimbili ambako aliambiwa kufanyiwa kipimo cha MRI ndipo akagundulika ana TB ya mfupa na imeathiri kwenye Intervertebral disc kati ya pingili ya 3 na ya 4 ya Lumbar vertebrae. Baada ya hapo ameanzishiwa dawa za TB na hadi sasa anaendelea vizuri na maumivu ya mgongo yamepungua.

Kwa hiyo nakushauri kama ukienda hospitali ukatumia dawa sana hupati nafuu jaribu kupima hii kitu. Ndugu yangu alihangaika karibu 2 years hadi tatizo kuja kugundulika.
 
Pata hii:

  • Car Massage Cushion, inasaidia sana kwa madereva wote.

    201312715249607.jpg

    2013128113113183.jpg

    Five Efficacy of Car Massage Cushion
    The concept of massage originated from Chinese medicine, and was later widely used in various industries such as medical and beauty. It was initially operated on meridians, acupuncture points and muscles artificially. Car massage cushion is embedded with health care function in the existing car seats and can simulate labor practices and massage different parts of body. What advantage will the use of car massage cushion or the installation of car massage cushion to the car bring to the car owner? And what benefit can it bring to human health? Now, please see the following descriptions.

    1. Car massage cushion can smooth meridian
    I believe that many drivers may have the feeling of pain both in the waist and neck after a long period of driving. This is because of the degeneration of bones and soft tissues. The car owners must realize the signals threatening health and adjust as soon as possible, otherwise the pain will worsen. Car massage cushion can relax muscle spasms, enhance the local blood circulation, raise the temperature of local tissues and improve the pain of local tissues. Also it can fully stretch the muscles of tension or spasm and so as to relieve the tension or spasm and eliminate pain.

    2. Car massage cushion can help put back a twisted joint
    Car massage cushion can simulate artificial manipulations such as pushing, kneading and so on. It can help adjust the symptom of dislocation of the joint, staggered cranial suture, soft tissue tear, tendon slippage, nucleus pulposus prolapse and synovial incarceration, and finally eliminate pathological factors causing muscle spasms and local pain, and will help in the repair and function reconstruction of the damaged tissue.

    3. Car massage cushion can regulate the nervous system
    The symptoms of low back pain, headache, dizziness and so on will occur after stopping from a long time of one posture or movement. The use of car massage cushion has the effect of regulating the nervous system both by exciting and inhibiting the nervous system and can balance excitement and inhibition of the nerve.

    4. The use of car massage cushion can help improve resistance to diseases
    It is investigated that the use of car massage cushion for 10 minutes each day can help increase the total number of leucocytes slightly and elevate the phagocytic index and the level of serum antibody significantly, thus improve human resistance to diseases.

    5. Car massage cushion can improve blood circulation
    Long period of the use of car massage cushion can improve blood circulation of the skin and muscle, promote the metabolism of the tissues and organs, enhance gastrointestinal function and stimulate or inhibit the nerve, and thus take the effect of analgesic, analgesia, inflammation, detumescence and antispasmodic. It can regulate body functions and enhance the immunity.

    With the development of modern science and technology, the traditional artificial massage has developed into the machine-operating massage, such as car massage cushion, massage chair, car cervical massager and so on, which are increasingly accepted by humans and have become necessary health equipments to individuals and family. I believe you will also think it is necessary to own an appropriate car massage cushion after learning so many benefits brought by it. Care of body and concern of health shall start from every little thing in each day.

    Wasiliana nasi tukuuzie hii cushion ya massage unayoweza kutumia kwenye gari na nyumbani, itakusaidia sana, bei ni 220,000/= simu 0756803528​

Habari zenu wakuu
Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari
So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua hili tatizo

adjust kiti,kiendane na size yako..
endesha mgongo ukiwa wima huku umegusa sehemu ya kuegamia.
 
Kuna ndugu yangu mmoja alianza hivyo hivyo maumivu ya mgongo karibu na kiuno yeye akadhani ni kwa sababu ya kuendesha gari. Baadaye maumivu yalianza kuzidi hata asipoendesha gari na akaanza kutibiwa hospitali mbalimbali hadi kwa Wachina. Maumivu yalipozidi akapewa mkanda fulani hivi anauvaa una-cover mgongo wote.

Baada ya kuona maumivu hayaishi na muda mrefu ametumia dawa za aina mbalimbali aliandikiwa aende MOI Muhimbili ambako aliambiwa kufanyiwa kipimo cha MRI ndipo akagundulika ana TB ya mfupa na imeathiri kwenye Intervertebral disc kati ya pingili ya 3 na ya 4 ya Lumbar vertebrae. Baada ya hapo ameanzishiwa dawa za TB na hadi sasa anaendelea vizuri na maumivu ya mgongo yamepungua.

Kwa hiyo nakushauri kama ukienda hospitali ukatumia dawa sana hupati nafuu jaribu kupima hii kitu. Ndugu yangu alihangaika karibu 2 years hadi tatizo kuja kugundulika.
Ushauri mzuri sana mkuu,

Tatizo letu sisi ushauri wa kitabibu tunaomba kwa wanasiasa/ social networks....Jali afya yako usisubiri mpaka maumivu yakizidi. Nenda kawaone wataalamu wa mambo ya afya.
 
Pole mkuu...hua unaendesha safari ndefu au hata kwa misele ya kawaida tu? Jaribu kuadjust kiti na namna ya ukaaji huenda ikasaidia..kama unakaa mbali na usukani jaribu kusogea karibu.. na kiti kinyooke kisilale

Kiti kikinyooka sana nayo nadhani tatizo ndo linazidi kuongezeka.
Si ndio mana ake?
 
Baadhi ya magari viti vya dereva viko chini sana sehemu ya nyuma ya kukalia. Kama kiti sio cha ku adjust waweza ongeza mto mdogo kwa nyuma ukalie. Itasaidia kupunguza angle ya mgongo kupinda sana.
 
Back
Top Bottom