Gari latumbukia Baharini Coco Beach

Mziki mkubwa, full ac unategemea nini hapo.... wacha samaki wakamalizie kipindi cha pili
Ukizidiwa kichwa cha chini kikaamka na kinadai aisehhh akili ya kawaida huwa ni kama haifanyi jazi tena na ukute opponent nae ni mjuzi wa mambo akapiga msamba na hivi vigari vyetu vya auto bila handbrake ni lazima mikito ikizidi mtavuta kwenye R kama sio N au kabisa kwenye D sasa mjuba ukija stuka unakuta chombo kimechanganya... Caution [emoji615] vuta handbrake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni SHABABY... Daaah umeongea yote
 
Handbrake = Parking brake. Sio kila gari parking brake inavutwa kwa mkono.... nyingine zinakanyagwa kwa mguu
 
Enzi hizo shoga angu alichezea fimbo za polisi wa O'bey, kanambia nisubiri kumbe wamesogea pembeni huko wananyanduana, mara polisi hao, walikula fimboo.
Polisi wa Tanzania ni wainga kabisa. Kuna sheria inayokataza? Hata kama ipo, adhabu yake ni viboko? Kweli nchi zetu ndiyo maana zinaitwa ziko dunia ya tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…