Whitepanther
JF-Expert Member
- Sep 27, 2021
- 289
- 458
Ukizidiwa kichwa cha chini kikaamka na kinadai aisehhh akili ya kawaida huwa ni kama haifanyi jazi tena na ukute opponent nae ni mjuzi wa mambo akapiga msamba na hivi vigari vyetu vya auto bila handbrake ni lazima mikito ikizidi mtavuta kwenye R kama sio N au kabisa kwenye D sasa mjuba ukija stuka unakuta chombo kimechanganya... Caution [emoji615] vuta handbrakeMziki mkubwa, full ac unategemea nini hapo.... wacha samaki wakamalizie kipindi cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app