Gari latumbukia Baharini Coco Beach

Gari latumbukia Baharini Coco Beach

Off topic, naomba kwa anayeelewa anisaidie. Nifanyeje ili niweze kufungua attachment zilizopo kwenye thread nikiwa natumia JF app
Maana kila nikibonyeza view attachment inanirudisha kwenye dashboard ya menu kuu.
Ila nikienda web view naweza kufungu attachment.
Natanguliza shukrani.
 
Handbrake = Parking brake. Sio kila gari parking brake inavutwa kwa mkono.... nyingine zinakanyagwa kwa mguu
Wengine ni button tu unagusa just a soft touch inaengage au disengage.
 
Polisi wa Tanzania ni wainga kabisa. Kuna sheria inayokataza? Hata kama ipo, adhabu yake ni viboko? Kweli nchi zetu ndiyo maana zinaitwa ziko dunia ya tatu.

Wewe endelea kuwainamisha,ila ukishikwa utagongwa stick sana japo uliishasahau.
fimbo ni kwa wapumbavu peke yake.
 
Mitaa ile huwa kuna kikona fulani kikali ukiwa karibu na ubalozi wa Uturuki...

Yaani kwa dereva anayependa mimbio na njia haijui, pale unaweza ukapaa ukajipata kwenye maji.
Kwa sasa kumejengwa Dual carriage na njia inayotumika ni hii ya pili ya upande wa makazi
 

Limeharibika vibaya sana
 
Back
Top Bottom