[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchunguze mkeo vizuri huenda alitoka na kibenteni chake hiyo tarehe wewe unalaumu polisi bure [emoji23]
Chunguza hiyo leseni iliyohusika kwenye makosa unaweza kuta ni mume mwenzako [emoji125][emoji125][emoji125]
Pia inawezekana kuna gari ipo barabarani inatembea yenye plate number kama yako au trafiki walikosea wakati wa kusoma plate namba.
Maendeleo hayana chama
Pamoja na kuwa na gari huwezi kuendesha bila leseni, na ukiwa na leseni waweza hata kuazima gari na ukaendesha. Huwezi kuazima leseni ya kuendeshea. Hivyo ipo haja ya huu utaratibu kubadilishwa.Wana taabu na wenye magari. Nia yao ni kuwakandamiza na kuwakamua wenye magari. Wenye leseni tu watatoa wapi bil. 29 za faini ndani ya mwezi mmoja.
Ama kweli maendeleo yana chama!
Pamoja na kuwa na gari huwezi kuendesha bila leseni, na ukiwa na leseni waweza hata kuazima gari na ukaendesha. Huwezi kuazima leseni ya kuendeshea. Hivyo ipo haja ya huu utaratibu kubadilishwa.
Mbona dereva akiwa na matatizo anafungiwa leseni?
"To expect bad man not to do wrong is madness"
Walisema lazma muishi kama mashetani, sasa nani waliolengwa kama sio wenye magari? Je, wote wenye magari wameyapata kifisadi!Wana taabu na wenye magari. Nia yao ni kuwakandamiza na kuwakamua wenye magari. Wenye leseni tu watatoa wapi bil. 29 za faini ndani ya mwezi mmoja.
Ama kweli maendeleo yana chama!
Hii dharau kubwa sana, kosa la kibinadamu unamaanisha kuwa wanajaza taarifa bila kuangalia number za gari au inakuwaje.hayo ni makosa ya kibinadamu, nenda traffic ukalalamike. wataitafuta hiyo lessen ipo mkoa gani ova
Kizuri Daima Kula Ndugu YakoMchunguze mkeo vizuri huenda alitoka na kibenteni chake hiyo tarehe wewe unalaumu polisi bure [emoji23]
Chunguza hiyo leseni iliyohusika kwenye makosa unaweza kuta ni mume mwenzako [emoji125][emoji125][emoji125]
Walisema lazma muishi kama mashetani, sasa nani waliolengwa kama sio wenye magari? Je, wote wenye magari wameyapata kifisadi!
Sawa kabisa usemacho, nilisimamishwa karibu na Msimbazi center ya kwamba nadaiwa elf 30 kwa kosa la speed kwenye eneo la 30kph leseni inayosoma sio yangu,gari ikazuiwa nikaenda kulipa baada ya hapo nilienda trafiki makao makuu kuonana na RTO wakaangalia wakanishauli niende kitengo cha tehama makao makuu mtaa wa ghana na ohio, mwisho wa siku trafiki aliyeko Songea ndo aliyeandika faini hiyo na alikosea kusoma namba za gari nikapewa namba yake tukawasiliana akanirudishia pesa yangu na kuomba radhi kwa usumbufu nilioupata.Hili linawezekana. Wakati anaingiza namba kupiga faini...badala ya 356 akaingiza 365 au DNA akaingiza DAN
Anza kwa kumbana mkeo alipotoka na gari siku hiyo na ni aliendesha, mbane kisawasawa ukiwa na kalamu na karatasi mkononi, atasema.Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.
Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo baada ya kugundua kuwa kuna website ya police, TMS CHECK - Tanzania Police Force, ambayo unaweza kuangalia kama gari lako linadaiwa au la
Nikaona ngoja niangalie na gari langu, lahaula nakuta system inasoma kuwa gari lilipigwa faini Tarehe 4 Januari 2019 kwa kosa la kutozingatia kivuko cha waenda kwa miguu.
Leseni ambayo inayoambatana na kosa si yangu wala ya mke wangu lakini zaidi sana kama nilivyosema katika tarehe hii, gari haikutoka ndani kabisa .
Je katika mazingira kama haya napeleka wapi malalamiko yangu kuhusu faini hii ya kubambikiwa kimakosa au kwa makusudi kabisa?
Na je kuna uthibitisho wowote naoweza kuutumia katika mazingira kama haya ?
Naomba msaada wenu.
Natanguliza Shukrani
Hili linawezekana sana tu,tena sana tuMchunguze mkeo vizuri huenda alitoka na kibenteni chake hiyo tarehe wewe unalaumu polisi bure [emoji23]
Chunguza hiyo leseni iliyohusika kwenye makosa unaweza kuta ni mume mwenzako [emoji125][emoji125][emoji125]
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.