Gari lililobeba Mashabiki wa Namungo lapata ajali na kusababisha vifo vya wanne

Gari lililobeba Mashabiki wa Namungo lapata ajali na kusababisha vifo vya wanne

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa Namungo wakielekea Dar kwenye match ya Yanga vs Namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani

Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa Moja usiku

USSR

Namungo.png
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

"Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina".


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa namungo wakielekea Dar kwenye match ya yanga vs namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani

Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa Moja usiku

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Namongo bado timu changa sana, haiwezi kuwa na mashabiki wa kuifuata DSM wakati wanajua inaenda kufungwa. Wanasiasa mafisadi wanawaponza chawa maskini
 
Ukiwakuta wenyewe majitu mazima mabarabarani wanashangilia mabasi wanaita UNAZI,yaani huwa ningekuwa na Mamlaka ningekuwa nawatia PINGU na kuwasukuma ndani na kazi ngumu
 
Poleni wafiwa wote kwa msiba uluowakuta. Mwenyezi Mungu awapumzishe marehemu wote mahali pema peponi, Amini.
 
Back
Top Bottom