Gari lililozama na kuua wawili laonekana baharini

Gari lililozama na kuua wawili laonekana baharini

Yaani akili zenu makamasi kweli. Mnaongea kuhusu mita au kilomita mnasahau mada ni kuhusu uopoaji wa waliozama majini? Mbona mna akili za kuku hivi? Stick to the topic guyz.
 
Auto correct kwa Simu bana Samahani. Yeah the deepest part is in the Pacific ocean known as Challenger deep in Guam that forms the Mariana trench. [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nyie ndo mnateleza mleta mada kaandika mita 50.

Mtu kasema meter 50 wewe unasema kilomita 50???kwel tz bado sna kufikia uchumi wa viwanda

Shida yenu hamfanyi tafiti kujiridhisha! Pitia quote niliyom-quote mimi muone aliandika nini!!

Aliandika km ndiyo mana nikamuuliza hivyo!! Eme-edit baada ya kumuonyesha kosa lake! Relax guys
 
Mtu kasema meter 50 wewe unasema kilomita 50???kwel tz bado sna kufikia uchumi wa viwanda

Wewe ndiyo hujielewi. Angalia pale alipo reply. Aliweka km na si metres. Ame edit.
 
Yaani akili zenu makamasi kweli. Mnaongea kuhusu mita au kilomita mnasahau mada ni kuhusu uopoaji wa waliozama majini? Mbona mna akili za kuku hivi? Stick to the topic guyz.

That blunder is totally derailing the topic to discuss.
 
Back
Top Bottom