survivor03
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 131
- 21
Habari mkuu,
Gar langu aina ya Vitz old model lina tatizo la kutochanganya kuondoka linachukua sekunde kadhaa ndio linakubali nikiweka gear D, nikilazimisha kukanyaga mafuta linafanya kama kustuka ndio linakubali kutembea vinginevyo mpaka usubirie. Lakini nikiweka R hapo hapo linarudi nyuma fresh, hili tatizo linatokea mara kwa mara.
Je, itakuwa nini mkuu kwa utaalamu wako?