Gari linajiwasha taa kubwa

Daniel Mtambo

Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
6
Reaction score
4
Naomba Msaada gari langu Aina ya Toyota Townace new model, nikisha park na kuzima gali pia kuzima taa zote na kuchomoa funguo, baada ya nusu saa gari linajiwasha taa kubwa. je tatizo ni nini.
 
Naomba Msaada gari langu Aina ya Toyota Townace new model, nikisha park na kuzima gali pia kuzima taa zote na kuchomoa funguo, baada ya nusu saa gari linajiwasha taa kubwa. je tatizo ni nini.
Muone fundi umeme wa magari.
 
Hapo kuna mambo mawili, either relay yake imeharibika so inaji- switch au ttzo ni apo kwenye switch / steering pamelegea. Au wire wake umefumwa vibaya unagusana na + before switch.

Addition,

Inaweza kua pia ni ttzo la software kama gari yako ni ya kisasa zaidi(IoT)
 
chomoa betri la sivyo jiandae ketengeneza viwili taa pia na kununua betri mpya mana betri itakua inanyonywa
 
chomoa betri la sivyo jiandae ketengeneza viwili taa pia na kununua betri mpya mana betri itakua inanyonywa
Umemshauri vyema,For now wakati anatafuta suluhisho its better to disconnect battery terminals otherwise betri itakufa moja kwa moja baada ya muda flan which is too way expensive;Secondly;kama pia headlights zitakuwa zinawaka Pia bila sababu while driving all the time;utaiongezea engine load ambayo itatokana na alternator kuwa stressed to power the battery while at the same time kuwasha taa ambapo hii energy huwa inazalishwa na fuel;and therefore expect poor fuel consumption.Thanks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…