Daniel Mtambo
Member
- Mar 5, 2019
- 6
- 4
Naomba Msaada gari langu Aina ya Toyota Townace new model, nikisha park na kuzima gali pia kuzima taa zote na kuchomoa funguo, baada ya nusu saa gari linajiwasha taa kubwa. je tatizo ni nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itoe
Muone fundi umeme wa magari.Naomba Msaada gari langu Aina ya Toyota Townace new model, nikisha park na kuzima gali pia kuzima taa zote na kuchomoa funguo, baada ya nusu saa gari linajiwasha taa kubwa. je tatizo ni nini.
Umemshauri vyema,For now wakati anatafuta suluhisho its better to disconnect battery terminals otherwise betri itakufa moja kwa moja baada ya muda flan which is too way expensive;Secondly;kama pia headlights zitakuwa zinawaka Pia bila sababu while driving all the time;utaiongezea engine load ambayo itatokana na alternator kuwa stressed to power the battery while at the same time kuwasha taa ambapo hii energy huwa inazalishwa na fuel;and therefore expect poor fuel consumption.Thanks!chomoa betri la sivyo jiandae ketengeneza viwili taa pia na kununua betri mpya mana betri itakua inanyonywa