Asante nitaendaSijajua upo mkoa gani Ila kama upo DAR nenda mtaa gerezani kariakoo utapata mafundi wa gari yako
Leak hiyo madhalani kwenye injectors.Wakuu habari! Msaada kidogo kwa wajuzi wa magari. Nina gari ( toyota Ractis) nikiendesha nahisi harufu ya petrol mbichi ndani ya gari. Nimepeleka kwa fundi kabadili plug lakini bado tatizo halijaisha.
Wewe unadhani kila mmiliki wa gari, anafahamu kila kitu cha kiufundi kwenye gari yake.Leak hiyo madhalani kwenye injectors.
Mtu ananunua gari miaka na miaka hajawahi badili seals za injectors.
Kuna leakage kwenye mfumo wa pipe za mafutaWakuu habari! Msaada kidogo kwa wajuzi wa magari. Nina gari (Toyota Ractis) nikiendesha nahisi harufu ya petrol mbichi ndani ya gari. Nimepeleka kwa fundi kabadili plug lakini bado tatizo halijaisha.
Unaisikia ikiwa rpm iko juu sana?Vipi Kama inatoa harufu ya moshi haswa ikiwa inapanda mlima, tatizo linaweza kuwa nini wataalam?
kwa kweli kwani mimi ilishanitokea kumbe ni tank lilikuwa lina leakage. tank liko ndani ya gari kwenye sit za nyumaNa pia kagua mfumo wote ya tank ya mafuta....kuna rubber fulani ikishaaga hali hiyo nayo hutokeaga
Ova
Kama unajijibu hivi mkuu ...Msaada wakubwa!! Nna gari yangu Subaru Forester XT ilichanganywa mafuta Kwa kiwekwa diesel,,baada ya matengenezo limeibuka tatizo la harufu ya petroli utaisikia ndan ya Kaz hasa baada ya kuondoka au ukitembea barabara mbovu na ukiwa ac hasa Kwa mzunguko wa ndan! Nimechek pipe zote na kwenye tank hakuna leakage ya petroli! Naomba msaada Kwa mwenye uwezo wa kumaliza hilo tatizo Kwa gharama yoyote!!
N.B Tatizo limeanza baada ya kushushwa tank la mafuta baada ya kuwekewa mafuta ya diesel badala ya petroli
Asante Kwa kunijibu Mkuu! Changamoto n kwamba nimeangalia vyote na kuviweka vizur lakin tatizo lipo kiasi ambacho wapo wanaonishaur kubadili Tanki lote!! !! Kama wew ni fundi unaweza kulitatua hilo tatizo niambie ulipo nikuletee unisaidie! Ukilimaliza nakulipa gharama yoyote! Au nikuuzie garKama unajijibu hivi mkuu ...
Kwenye process ya kulipandisha tank kuna kitu walikosea. Angalia zile rubber seal za yale matundu ambayo fuel pump na gauge inaingia. Angalia kama screw zote zipo.
Mrejesho:Msaada wakubwa!! Nna gari yangu Subaru Forester XT ilichanganywa mafuta Kwa kiwekwa diesel,,baada ya matengenezo limeibuka tatizo la harufu ya petroli utaisikia ndan ya Kaz hasa baada ya kuondoka au ukitembea barabara mbovu na ukiwa ac hasa Kwa mzunguko wa ndan! Nimechek pipe zote na kwenye tank hakuna leakage ya petroli! Naomba msaada Kwa mwenye uwezo wa kumaliza hilo tatizo Kwa gharama yoyote!!
N.B Tatizo limeanza baada ya kushushwa tank la mafuta baada ya kuwekewa mafuta ya diesel badala ya petroli