Gari linatoa harufu ya petrol ndani

Gari linatoa harufu ya petrol ndani

Sijajua upo mkoa gani Ila kama upo DAR nenda mtaa gerezani kariakoo utapata mafundi wa gari yako
 
Angalia kama mfuniko wa pump na filter zake umefungwa vizuri
 
Wakuu habari! Msaada kidogo kwa wajuzi wa magari. Nina gari ( toyota Ractis) nikiendesha nahisi harufu ya petrol mbichi ndani ya gari. Nimepeleka kwa fundi kabadili plug lakini bado tatizo halijaisha.
Leak hiyo madhalani kwenye injectors.

Mtu ananunua gari miaka na miaka hajawahi badili seals za injectors.
 
Nadhani ungeanza na Injectors na pipes za kupeleka mafuta inaonekana zina leakage ukiwa unakanyaga mafuta zinatema mafuta yanamwagika.

Ukaguzi wa kwanza unaweza kufanya kabla haujaenda kwa fundi. Tazama kwanza kama kuna hali ya mafuta kumwagikia kwenye engine block.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi Kama inatoa harufu ya moshi haswa ikiwa inapanda mlima, tatizo linaweza kuwa nini wataalam?
 
Na pia kagua mfumo wote ya tank ya mafuta....kuna rubber fulani ikishaaga hali hiyo nayo hutokeaga

Ova
 
kwa kweli kwani mimi ilishanitokea kumbe ni tank lilikuwa lina leakage. tank liko ndani ya gari kwenye sit za nyuma
 
Msaada wakubwa!! Nna gari yangu Subaru Forester XT ilichanganywa mafuta Kwa kiwekwa diesel,,baada ya matengenezo limeibuka tatizo la harufu ya petroli utaisikia ndan ya Kaz hasa baada ya kuondoka au ukitembea barabara mbovu na ukiwa ac hasa Kwa mzunguko wa ndan! Nimechek pipe zote na kwenye tank hakuna leakage ya petroli! Naomba msaada Kwa mwenye uwezo wa kumaliza hilo tatizo Kwa gharama yoyote!!
N.B Tatizo limeanza baada ya kushushwa tank la mafuta baada ya kuwekewa mafuta ya diesel badala ya petroli
 
Kama unajijibu hivi mkuu ...

Kwenye process ya kulipandisha tank kuna kitu walikosea. Angalia zile rubber seal za yale matundu ambayo fuel pump na gauge inaingia. Angalia kama screw zote zipo.
 
Very useful thread to me,Nina tatizo hilo la harufu ya mafuta mabichi ndani ya gari.
Nafatilia maoni/mapendekezo yanayoendelea kutolewa
 
Kama unajijibu hivi mkuu ...

Kwenye process ya kulipandisha tank kuna kitu walikosea. Angalia zile rubber seal za yale matundu ambayo fuel pump na gauge inaingia. Angalia kama screw zote zipo.
Asante Kwa kunijibu Mkuu! Changamoto n kwamba nimeangalia vyote na kuviweka vizur lakin tatizo lipo kiasi ambacho wapo wanaonishaur kubadili Tanki lote!! !! Kama wew ni fundi unaweza kulitatua hilo tatizo niambie ulipo nikuletee unisaidie! Ukilimaliza nakulipa gharama yoyote! Au nikuuzie gar
 
Hilo tatizo lilinikuta Ikawa ni Pipe ya kupitisha hewa kwenye pump ya mafuta. Hebu itazame kama imelegea kama ndio basi ndio inayotoa hewa ni ishu ndogo nunua maker ile gundi then chomo hiyo pipe paka gundi then chomeka pipe tatizo litakwisha.
 
Msaada wakubwa!! Nna gari yangu Subaru Forester XT ilichanganywa mafuta Kwa kiwekwa diesel,,baada ya matengenezo limeibuka tatizo la harufu ya petroli utaisikia ndan ya Kaz hasa baada ya kuondoka au ukitembea barabara mbovu na ukiwa ac hasa Kwa mzunguko wa ndan! Nimechek pipe zote na kwenye tank hakuna leakage ya petroli! Naomba msaada Kwa mwenye uwezo wa kumaliza hilo tatizo Kwa gharama yoyote!!
N.B Tatizo limeanza baada ya kushushwa tank la mafuta baada ya kuwekewa mafuta ya diesel badala ya petroli
Mrejesho:
Natoka shukran kwenu nyote mlionishaur juu ya tatizo hilo!! Tulifanya ukaguz ambapo iligundulika kuwa briza ya tank la mafuta halikufungwa na baadhi ya pipe zinazohusika na upumuaji zilikuwa zimechanganywa!! Baada ya kuweka sawa gari imerud katika Hali yake nzuri!! Asanteni saaana kwenu nyote!
 
Back
Top Bottom