ngombelee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 376
- 285
Duh!!!7.5m nicheki PM tuyajenge ili nije kesho kuichukua!
Duh!!!7.5m nicheki PM tuyajenge ili nije kesho kuichukua!
Aipeleke Moshi ikasukwe upya...Inaonekana madereva wameshamtia hasara. Hiyo gari inaonekana imepata ajali wakati bado mbichi mpaka yeye hana hamu... Hata mimi mpaka nimeacha biashara ya magari, madereva walishanifanya kitu mbaya sana... Pole mjasiria mali... Wala hata usiuze hiyo gari... Nunua cabin mpya afu kata bima kubwa biashara iendelee...
Mayai hiyo mzee kurudi kama zamani sahauAipeleke Moshi ikasukwe upya...
ikitoka ataisahau...
au Tabata Dampo...
Milioni kumi haiishi chuma isharudi kwenye mstari....
Fuso ni Gari ngumu sana...
na inakubali matengenezo na inatengenezeka...
Basi atafute Aongeze Milioni 8...Mayai hiyo mzee kurudi kama zamani sahau
Ila Dizain km Chassis nayo imepinda...Mayai hiyo mzee kurudi kama zamani sahau
nilitaka niseme hilo usikute plate number ya kibashite,Namba D lakini inaonekana imechoka kimtindo ebu weka bei kwanza tujue
Hilo ndo jambo la msingi hapoBasi atafute Aongeze Milioni 8...
apachike Cabin mpya......
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]nilitaka niseme hilo usikute plate number ya kibashite,
Ulicho kiandika ni cha Msingi sana. Mnunuzi azingatie Hilo.nilitaka niseme hilo usikute plate number ya kibashite,