Gari linauzwa. Fuso Tandam. Bei nzuri

Aipeleke Moshi ikasukwe upya...
ikitoka ataisahau...
au Tabata Dampo...
Milioni kumi haiishi chuma isharudi kwenye mstari....
Fuso ni Gari ngumu sana...
na inakubali matengenezo na inatengenezeka...
 
Anaeuza gari kwa shida. Malipo ya instalment kila mwezi laki nane (800,000)/-, tunaandika mkataba kwa mwanasheria unakaa na kadi nikimaliza malipo unanipa kadi. Iwe Toyota saloon either Sedan au hatchback haina shida. CC isizidi 2000, four cylinder (six cylinder nitafikiria kama itakua bado nzuri). Gari isizidi mil 7, tunaweza kuanzia kuanzia hii April. Alie serious ani PM
 
Aipeleke Moshi ikasukwe upya...
ikitoka ataisahau...
au Tabata Dampo...
Milioni kumi haiishi chuma isharudi kwenye mstari....
Fuso ni Gari ngumu sana...
na inakubali matengenezo na inatengenezeka...
Mayai hiyo mzee kurudi kama zamani sahau
 
Ukikubali Kulaliwa Mwisho Utapasuka Utakuwa Kama Pono
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…