Car4Sale Gari linauzwa Nissan X-trail

Car4Sale Gari linauzwa Nissan X-trail

bendee

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
111
Reaction score
146
Bei million 14.
Lipo kwenye Hali nzuri kabisa limetumika kwa mwaka mmoja tuu.
Ni LA mwaka 2003
Lina seat cover za leather.
Halidaiwi ushuru.
Sababu ya kuuzwa ni kwamba muhusika amepangiwa kazi katika nchi nyengine.
Kwa alie serious ni pm au nitafute kwa namba 0656327777
1469009806646.jpg
1469009841009.jpg
1469009849464.jpg
1469009876401.jpg
 
Duh, yani ww nawe, mkubwa hilo ni jini kaka, yani ukipata hata mtu kwa m6 muachie fasta likamnyonye damu, hilo gari kwa mm hata ukiniuzia kwa m5 sichukui, lina gharama hilo. Linakula mafuta kuliko Trekta.

We kama huna pesa si ukae kimya? watu wengine mnaboa sana, sasa mjapan alikosea kuunda gari ya hivyo? kama huna pesa tembea kwa mguu au panda bus za mwendo kasi bado muda wa kununua gari wewe au kama unalo basi ni 'baby walker'
 
Kuwa mzalendo na muungwana, kwanini utake kuwauzia wenzio msala, hilo gari ni msala wa maana, spare ziko juu balaa. Na linakunywa mafuta kuliko trekta 1ltr/6km. Fugia kuku tu ule mayai. Hiyo ni ndoa ya kikatoliki baba.
 
Hivi haya maneno mnatoa wapi? Mie ndio ninaloendesha kila siku.
 
Duh, yani ww nawe, mkubwa hilo ni jini kaka, yani ukipata hata mtu kwa m6 muachie fasta likamnyonye damu, hilo gari kwa mm hata ukiniuzia kwa m5 sichukui, lina gharama hilo. Linakula mafuta kuliko Trekta.
Jamani! Msiwe mnatangaza ufukara wenu hadharani namna hii. Wewe unalalamikia CC 2000 za hii Nissan, kwamba inakula mafuta, wakati jirani yako ana gari la CC 4700 na hana wasiwasi. Sometimes tuwe tunapita tu. Nayo ni busara pia
 
Duh, yani ww nawe, mkubwa hilo ni jini kaka, yani ukipata hata mtu kwa m6 muachie fasta likamnyonye damu, hilo gari kwa mm hata ukiniuzia kwa m5 sichukui, lina gharama hilo. Linakula mafuta kuliko Trekta.

Kuwa mzalendo na muungwana, kwanini utake kuwauzia wenzio msala, hilo gari ni msala wa maana, spare ziko juu balaa. Na linakunywa mafuta kuliko trekta 1ltr/6km. Fugia kuku tu ule mayai. Hiyo ni ndoa ya kikatoliki baba.
Mawazo finyu sana haya. Lita 66 full tank, unatoka hapa unafika Arusha na unatumia pia. Usipokuwa na gari usiharibie watu. Mi ninalo la hivyo.
 
Hata mm ninalo kama hilo, huu ni mwaka wa pili lipo poa sana. Hiyo gari ipo vzr sana barabarani. Kama ww ni mbabaishaji, usinunue Nissani sbb haitaki ubabaishaji.
 
watu bwana!! kila mtu mtaalamu na katumia kila gari. acheni kuharibu biashara za watu. mkuu mimi shida hera tu lakini mzigo upo vizuri huo. jamaa yangu anatumia sijamsikia akilalama.
 
Mtayauza sana mwaka huu kutafuta Kodi za nyumba Sinza. Si mlizoea kutokulipa kodi mtayauza mpaka tubanane kwenye mwendo kasi.
 
Tuache ushabiki..kama mtu huna hela ukae kimya.xtrail ipi inatumia 1l/km 6??

Kama purchasing power ndogo usilete maneno ya mitaani kwenye vitu vya kitaalam.

Mimi NINALO natembea full ac 1l/10-11km huu mwaka wa tatu.
 
Siharibu biashara. Ila itabidi anaenunua alipe ushuru. Maana namba zake unaziona
 
wa
Duh, yani ww nawe, mkubwa hilo ni jini kaka, yani ukipata hata mtu kwa m6 muachie fasta likamnyonye damu, hilo gari kwa mm hata ukiniuzia kwa m5 sichukui, lina gharama hilo. Linakula mafuta kuliko Trekta.
Acha kuaribu biashara ya watu wewe, Watu type Kama zenu Utakuta Hata baiskeli hajawahi kumiliki.
 
Hata mie ninayo Kama hiyo, mwaka wa siku sasa inadunda, fuel consumption safi haina tofauti na rav4.
 
Attachments

  • IMG_20171106_181153.jpg
    IMG_20171106_181153.jpg
    231.4 KB · Views: 44
Back
Top Bottom