Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Gari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabarani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah!! Ana mapepe na ajaliTulia andika vizuri.
Na wewe utulie uandike vizuri mchango wako,hapo amesema gari binafsi wewe unauliza tena hilo hilo.Mkuu ungetulia ukaandika vzr tafadhari,Unaandika haraka haraka kama unakimbizwa na Panya Road!!Ni gari ya Abiria au gari binafsi???
Mjapan huyoRange yako National Anthem
Safi sana watu mmeumbwa na miguu ili mtembee mnaendekeza anasa kwa kutumia magari na vyombo vungine vya moto.Gari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
View attachment 2365027
itakua ni TRAB na TRAT zimegusanaGari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
View attachment 2365027
Third party nae Hana lawamaaa, hopefully hamuna majanga inginee
Utakuwa ni mchongo wa kupata fidia ya Bima kubwaGari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
View attachment 2365027
Sababu ya gari kuungua lazima ni tozo tu, ilifanya jamaa ashindwe kumudu gharama ya kurekebisha shotiGari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
Dualis hioMjapan huyo
Nenda kazime na maji ya kandoroGari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
View attachment 2365027
Miguu kazi yake kusimama..Safi sana watu mmeumbwa na miguu ili mtembee mnaendekeza anasa kwa kutumia magari na vyombo vungine vya moto.
Acha yaungue tu