Gari linawaka moto muda huu Tegeta Kibaoni

Gari linawaka moto muda huu Tegeta Kibaoni

Mkuu ungetulia ukaandika vzr tafadhari,Unaandika haraka haraka kama unakimbizwa na Panya Road!!Ni gari ya Abiria au gari binafsi???
Atulie nini, ushaelewa gari ndogo binafsi linawaka moto, sehemu Tegeta Kibaoni, sasa unataka atulie nn.? Aandike vizuri kwani una sahihisha mtihani? Si ujumbe umepata, nyie watu vichwa mmebeba mzigo sana
 
Hivi tule tumitungi twa kuzimia moto wa magari madogo huwa ni bei gani?
 
Back
Top Bottom