Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Wakuu salaam.
Gari lipi linafaa kwa safari za hapa mjini,kutoka king'azi shule hadi posta kila siku.
Bajeti yangu ni 9mil na nategemea kuliendesha kwa maisha ya mshahara sina chanzo kingine.naomba unishauri kwa kuzingatia km per litr
Naomba pia anayejua ni km ngapi kutoka town hadi king'azi shule kule.