Gari lipi linafaa mazingira haya

Gari lipi linafaa mazingira haya

Hapo maana yake ni Tsh 25000 kwa week. Maana mafuta ya Tsh 5000 ni kama zero tu. Hata hivyo,nakushauri tenga angalau elf30-40 kwa week. Mafuta ya Tsh 5000 ni upepo na unaweza kuua pump tu.
Duuui,tutaendesha gari kweli?
 
Nikishindwa sana nanunua SUZUKI CARRY sasa ntafanyaje?
Haaa haaaa! Njoo nikuuzie honda cc250 achana na mambo za gari kwa bajeti ndogo hivo ya mafuta utapata stress pia mafoleni ya mjini utaukumbuka na mwendokasi ukiwa na private sometime inatakiwa upenye mitaani au uchague njia iliyo wazi sasa utachagua njia kwa mafuta ya 5000? Chukua mashine kubwa honda vt250 hutojuta.
 
Honda ajali nje nje mkuu,na we ndo unakuwa bodi
 
Hakuna gari sitaki kuisikia kama lav4 hold model,kwanza kanafyonza mafuta utadhani kametumwa kukufirisi
100% hujawahi kua na hio gari kama unasema rav 4 old model inakunywa mafuta,hiyo gari shida hua ni yale matege yake tu.
 
Wakuu salaam.

Gari lipi linafaa kwa safari za hapa mjini,kutoka king'azi shule hadi posta kila siku.

Bajeti yangu ni 9mil na nategemea kuliendesha kwa maisha ya mshahara sina chanzo kingine.naomba unishauri kwa kuzingatia km per litr

Naomba pia anayejua ni km ngapi kutoka town hadi king'azi shule kule.
 
Duuui,tutaendesha gari kweli?
Utaendesha ukijipanga,lakini kipekee,kumiliki gari siyo issue,issue ni gharama zinazokuja kulifanya liwe barabarani kwa 24/7/365!
Sasa huwezi kusema unanunua mafuta ya Tsh 5000 kwa gari hata kama ni cc600-900! Angalau 10,000 utumie kwa siku 2
 
Hapa nakuelewa unaposema 10 walau nitumie kwa siku 2 niko tayari maana ni sawa na 5,000 per day
 
Back
Top Bottom