Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Asante mkuu,ngoja nisikie ushauri mwingine piaNunua Toyota kids(terious))ni fwd,,cc900 uko juu juu KWA Barbara zetu uko poa mno
Hofu yangu ni zile Barabara za kutoka malamba mwisho kwenda mzalendo siyo rafiki kwa vitz na aina zakeVitz , ist, au spacial
Toyota Cami bei gani mkuuKwa hiyo hela yako ni terios kid tuu kama ungeongeza kidogo ungechukua toyota cami
Hii ikoje mkuu ,bei yake na ulaji wake wa mafuta ikiwezekana pichà yakeGolf 5 tdi mkuu inaweza sana
Kuagiza inafika tsh ngapiSuzuki Jimny 660cc au Kjimny Wide 1330cc. Ila kwa pesa hiyo mpaka umvue mtu.
11-14MKuagiza inafika tsh ngapi
Hii ngoma iko delicate sana ,inaweza kukuzimikia muda wowote.alafu mafuta inakula sana cc 1950 na bei yake pia iko juu.Tafuta xtrail 1990cc mafuta inanusa
Mkuu kama huna familia chukua Mitsubishi Mini cc 900 na ipo juu utaenjoy sana. Mafuta inanusa km paka
Mkuu eleza kidogo maswaibu ya hii gari kama hutojaliAsije akarogwa akasikiliza ushauri wako