Wanunuz wa magar wako Dar tuu !!?Haaa haaaa! Njoo nikuuzie honda cc250 achana na mambo za gari kwa bajeti ndogo hivo ya mafuta utapata stress pia mafoleni ya mjini utaukumbuka na mwendokasi ukiwa na private sometime inatakiwa upenye mitaani au uchague njia iliyo wazi sasa utachagua njia kwa mafuta ya 5000? Chukua mashine kubwa honda vt250 hutojuta.
Wewe mgeni wa magari usidanganye mwenzako au basi kwako kms 10 kwa Litre ndio kunusa mafuta???Tafuta xtrail 1990cc mafuta inanusa
Hii ni gari
Hii ni gari
Suzuki Escudo, Jimny na Maruti huwa nazikubali sana. Ni gari imara na zinadumu sanamzee ni gari nzuri sana na zinahimili mazingira yote mkuu
Dah kumbe STD 7 tunao humu[emoji22]Hakuna gari sitaki kuisikia kama lav4 hold model,kwanza kanafyonza mafuta utadhani kametumwa kukufirisi
nan kakwambia kids ina cc 900Nunua Toyota kids(terious))ni fwd,,cc900 uko juu juu KWA Barbara zetu uko poa mno
hiyo mini yenye cc 900 imetengenezwa liniMkuu kama huna familia chukua Mitsubishi Mini cc 900 na ipo juu utaenjoy sana. Mafuta inanusa km paka
Du hata ka jimmy!mi nataka kuagiza suzuki kei ila umenitisha11-14M
KAMA IST INAKULA MAFUTA KWAKO, NA HUIWEZI KUIMUDU, THEN ANGALIA MAAMUZI YAKO YA KUNUNUA GARI - INAWEZEKANA UMEWAHI, MDA WA WEWE KUNUNUA GARI BADO, LABDA UNUNUE DUET 900CC AU MITSUBISH MINI - AMBAZO NI PASUA KICHWA KWA SPARE WAKATI MWINGINE....
Ni wachache watakuelewa kama hawajahi kuyatumia haya magari yenye cc ndogohata hizo gari zenye cc ndogo consumption iko pale pale usijidanganye kwa cc ndogo kina jimny na kei na vigari vingi vya cc 659cc vinakula mafuta kuliko hata ractis 1300cc au 1500cc ..hizo kina kei engine ndogo so inazunguka sana yan inafanya kazi kubwa
Ni wachache watakuelewa kama hawajahi kuyatumia haya magari yenye cc ndogo
si kuna ile kitu inaitwa power to weight ratio unakuta kagari kana 54hp uzito tani na nyingne 90 or 100hp uzito tani moja kwa moja hako ka hp 54 katapata shida sana mfano umepakia watu wanne kwenye suzuki kei going up hill na mwngne watu wanne hivo hivo ila ya kwake inajiweza ....hapo mliman kei inapnda kwa shida kwel rpm nyingi hivo unywaji wa mafuta unazd kuliko ile yenye engine kubwaNi wachache watakuelewa kama hawajahi kuyatumia haya magari yenye cc ndogo
hata hizo gari zenye cc ndogo consumption iko pale pale usijidanganye kwa cc ndogo kina jimny na kei na vigari vingi vya cc 659cc vinakula mafuta kuliko hata ractis 1300cc au 1500cc ..hizo kina kei engine ndogo so inazunguka sana yan inafanya kazi kubwa
ni vema umejua hujielewi ...hujui what is power to weight ratioUjielewi
ni vema umejua hujielewi ...hujui what is power to weight ratio