kuna ule wakati unatamani kufanya maamuzi ya kumiliki gari, na kwa sababu ya unafuu uliopo kwenye kuagiza nawe unaamua kutaka kuagiza. ila changamoto kuu zinajitokeza za wapi uagizie, gari ipi itakufaa zaidi, gharama halisi za uagizaji, ushuru n. k Unaweza leo, kujiunga nasi kwenye kundi letu...