Gari lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani

Gari lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani

Luchiy

New Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Gari lenye umbo la SUV kwa matumizi ya nyumbani lipi lenye ubora na gharama nafuu?
 
Gari kwa matumizi yepi tena ya nyumbani man?

Yaani mishe za kutoka sebuleni kwenda jikoni au chumbani unahitaji gari? Aisee tupunguze uvivu.
images (18).jpeg
 
una kiasi gani cha pesa? Fortuner New model hutojuta
 
Gari lenye umbo la SUV kwa matumizi ya nyumbani lipi lenye ubora na gharama nafuu?
 
Back
Top Bottom