Tetesi: Gari mbili zina usajili mmoja zinatamba tu barabarani na wala LATRA hamna hatua wanayochukua

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.

Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
pastorkabigumila-20250819-0001.jpg
 
Kwanza Latra hawahusiki na hayo mambo,
Hapo ni tra na polisi.
Kama kuna magari zaidi ya 100 yana plate namba SH 2030 na wanajifanya hawayaoni. Hii nchi ina viongozi wahuni na wahovyo
 
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.

Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
View attachment 3446019
WASIOJULIKANA
 
Hahahahaha!! Kiongozi Hii ndio serikali ya chura a.k.a Dalali. Anatamba na mafisadi majizi na wahuni w muji huu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.

Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
View attachment 3446019
mzee sheria siku zote zipo kwa ajili ya masikini na wanyonge, wanachofanya traffic ni sahihi kudeal na wanyonge
 
Hizo GXR nyeusi achana nazo.
Nop hata kama, They are supposed to play smarter, sio kwa hivi haioneshi weredi...sehemu hiyo inataka kucheza smarter. Wasiwaachie drivers kufanya kila kitu!!
 
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.

Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
View attachment 3446019
Hii nchi ni ya kwaoo mkuu
 
Wamekusikia
 
Back
Top Bottom