tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
WASIOJULIKANANa utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.
Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
View attachment 3446019
mzee sheria siku zote zipo kwa ajili ya masikini na wanyonge, wanachofanya traffic ni sahihi kudeal na wanyongeNa utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.
Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
View attachment 3446019
Hakuna mwenye shida nazo tatizo ni wanapovunja sheria makusudi,kwani kulikuwa na shida kama moja ingekuwa T 247 utofauti wa namba moja tu?Hizo GXR nyeusi achana nazo.
Nop hata kama, They are supposed to play smarter, sio kwa hivi haioneshi weredi...sehemu hiyo inataka kucheza smarter. Wasiwaachie drivers kufanya kila kitu!!Hizo GXR nyeusi achana nazo.
Na VX-R pia π π π Unasimamisha akishuka Dully utafanyaje πππHizo GXR nyeusi achana nazo.
Hii nchi ni ya kwaoo mkuuNa utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.
Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish wanafanya wanavyotaka alafu watu wa hali ya chini mnawakaba, mnatupa wasi wasi na uwajibikaji wenu
View attachment 3446019
WamekusikiaNa utaambiwa mamla husika haioni haya?