Gari Moja lina kodi zisizozidi kumi na tano tu, msiogope!

Gari Moja lina kodi zisizozidi kumi na tano tu, msiogope!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za :

  1. 1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%),
  2. Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), .
  3. Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT - 18%).
  4. Ushuru wa Forodha (Import Duty): Kiwango chake ni 25% ya thamani ya CIF.
  5. Hutozwa kulingana na ukubwa wa injini (CC); kwa mfano, injini za chini ya 2000cc hulipa 5%, na zaidi ya 2000cc hulipa 10% au zaidi.
  6. Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT): Kiwango chake ni 18% inayokokotwa kwenye jumla ya thamani ya gari pamoja na ushuru mwingine uliolipwa
  7. wrong parking 300,000 au ya kufuta viatu 50,0000.
  8. LATRA.
  9. Nenda kwa Usalama.
  10. Fire extinguisher.
  11. First Aid kit.
  12. Gari bado wezi wa ilala hawajangoa side mirror ,weel cap na power window.
  13. Ukipaki pharmacy kununua panado ya miatano unalipa ushuru wa 500 , ukikosa ukaenda pengine unalipa tena.
 
Hapo bado Insurance,driving license tax, fuel,parking,Traffic violation,inspection..

Then mwalimu mmoja mjinga anakopa akanunue Nissan Juke,..

Vigari vya hovyo vina tax exemption??
 
Back
Top Bottom