Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,434 Reaction score 27,177 Jul 29, 2026 #1 Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za : 1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%), Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), . Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT - 18%). Ushuru wa Forodha (Import Duty): Kiwango chake ni 25% ya thamani ya CIF. Hutozwa kulingana na ukubwa wa injini (CC); kwa mfano, injini za chini ya 2000cc hulipa 5%, na zaidi ya 2000cc hulipa 10% au zaidi. Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT): Kiwango chake ni 18% inayokokotwa kwenye jumla ya thamani ya gari pamoja na ushuru mwingine uliolipwa wrong parking 300,000 au ya kufuta viatu 50,0000. LATRA. Nenda kwa Usalama. Fire extinguisher. First Aid kit. Gari bado wezi wa ilala hawajangoa side mirror ,weel cap na power window. Ukipaki pharmacy kununua panado ya miatano unalipa ushuru wa 500 , ukikosa ukaenda pengine unalipa tena.
Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za : 1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%), Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), . Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT - 18%). Ushuru wa Forodha (Import Duty): Kiwango chake ni 25% ya thamani ya CIF. Hutozwa kulingana na ukubwa wa injini (CC); kwa mfano, injini za chini ya 2000cc hulipa 5%, na zaidi ya 2000cc hulipa 10% au zaidi. Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT): Kiwango chake ni 18% inayokokotwa kwenye jumla ya thamani ya gari pamoja na ushuru mwingine uliolipwa wrong parking 300,000 au ya kufuta viatu 50,0000. LATRA. Nenda kwa Usalama. Fire extinguisher. First Aid kit. Gari bado wezi wa ilala hawajangoa side mirror ,weel cap na power window. Ukipaki pharmacy kununua panado ya miatano unalipa ushuru wa 500 , ukikosa ukaenda pengine unalipa tena.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Jul 29, 2026 #2 Kumbe?Sonona ipo njiani.
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,401 Reaction score 9,555 Jul 29, 2026 #3 Hapo bado hawajakulamba na kwenye mafuta. Hii nchi pamoja na utajiri wa rasilimali uliopo lakini mwananchi anabeba mzigo mzito wa kodi
Hapo bado hawajakulamba na kwenye mafuta. Hii nchi pamoja na utajiri wa rasilimali uliopo lakini mwananchi anabeba mzigo mzito wa kodi
lost files JF-Expert Member Joined Apr 17, 2025 Posts 1,146 Reaction score 3,425 Jul 29, 2026 #4 Hapo bado Insurance,driving license tax, fuel,parking,Traffic violation,inspection.. Then mwalimu mmoja mjinga anakopa akanunue Nissan Juke,.. Vigari vya hovyo vina tax exemption??
Hapo bado Insurance,driving license tax, fuel,parking,Traffic violation,inspection.. Then mwalimu mmoja mjinga anakopa akanunue Nissan Juke,.. Vigari vya hovyo vina tax exemption??
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jul 29, 2026 #5 Gari moja inalisha si chini ya familia 15