Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau wa JF.
Ninahitaji gari ndogo (saloon) ya kutembelea. Sina uchaguzi sana maana ninahitaji bei isiyozidi milioni nne (4,000,000/=). Pia ingekuwa corolla itakuwa vizuri zaidi.
Kama kuna yeyote anayeweza kusaidia upatikanaje tafadhali niPM.
:amen:Ameshapata, si unaona yuko kimya! Mjini hapa, sasa hv huenda yuko garage?