sleee
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 212
- 306
Habar zenu Wadau[emoji8]
I hope mpo pouwah na Mnaendelea na Majukumu Ya Ujenzi wa Taifa Letu.
Nina ombi moja hapa.
Kuna ndugu yangu yupo Arusha anahitaj gar ya kutembelea na Bajet yake ni 7.5m -8M.
Sasa Kwakuwa hayajui Magari Vyema na kasema anataka kununua Used hapa Bongo tena gar ngumu kwa Bajet ya 7.5 - 8M ili akae nayo muda mrefu.
Umbal kutoka kwake mpk kazin ni km 17 (hapo kuna angalau 3 km rough road)
Nikamshaur gar hizi.
A) Rav 4 Killtime- ( 2004-2005)
B) Suzuk Grand
C) Maoni yenu
Note: Hatak shortmin /Kipisi na anapenda yenye muonekano mzur siyo sura ngumu kama Rav4 Old
Km unajua mtu ambae labda anauza gar hizo kwa bajet hiyo nisaidie pls[emoji120][emoji120][emoji120] itapendeza km zitakuwa Arusha...