Sasa gari imeshafikia ukomo Japan, we unaichukua na kuitumia miaka 10. Nini zaidi unataka zaidi ya hicho?labda bedford za zamani sana
90% ya watanzania wananua used, ambapo sisi tuna-term kuwa bora kama umeichukua moja kwa moja kutoka Japan n.k
Kwa kusema hayo, gari zote zinazotumika hapa TZ ni bora na imara sana.