Sasa gari imeshafikia ukomo Japan, we unaichukua na kuitumia miaka 10. Nini zaidi unataka zaidi ya hicho?labda bedford za zamani sana
Wewe ni mjinga/mshamba/falaHuwezi kupata gari nzuri kwa fedha ndogo namna hii pamoja na masharti kibao pambana angalau ifike Mil.22,000,000 upate gari nzuri aina ya Subaru Forester.
Mil.22,000,000 ndiyo nini?Huwezi kupata gari nzuri kwa fedha ndogo namna hii pamoja na masharti kibao pambana angalau ifike Mil.22,000,000 upate gari nzuri aina ya Subaru Forester.
Milioni ishirini na mbili.Mil.22,000,000 ndiyo nini?
Sawa mkuu mwerefu, mjanja na wa mjini wewe hakuna zaidi yako.Wewe ni mjinga/mshamba/fala
Umeonae halafu ana lugha ya dharau na kejeli ni kumsamehe bure.Hana hela huyo. Kwa hio pesa na kwa masharti yake mengiii atapata bodi tu bila engine wala gearbox. Gari ya juu used kama rav 4 ni 9 mpaka 12m gari yenye gearbox safi engine safi service nzuri. Kwa hela hio achukue raum new model used au ist used
π π πToyota Probox..! Mchomoko..Inavumilia mateso..!View attachment 2618287
Ngumu kama Pujoo 504..! View attachment 2618289