ndugu wanajamii,naweza kupata kagari kadogodogo kama starlet glanza,duet na nyingine dzain iyo kwa million 4 ?? au yoyote nzuri,mafuta kuanzia km14/RTL kwenda juu, na iwe ktk condition nzuri body safi na engine I we vizur na so kimeo,kama unayo npm or text 0756664797 ,wale wenye kejeli na dharau bora usichangie chochote hutonibadilisha kamwe kwa maneno yako cz mil 4 ndo uwezo Wang,asanten