ndugu wanajamii,naweza kupata kagari kadogodogo kama starlet glanza,duet na nyingine dzain iyo kwa million 4 ?? au yoyote nzuri,mafuta kuanzia km14/RTL kwenda juu, na iwe ktk condition nzuri body safi na engine I we vizur na so kimeo,kama unayo npm or text 0756664797 ,wale wenye kejeli na dharau bora usichangie chochote hutonibadilisha kamwe kwa maneno yako cz mil 4 ndo uwezo Wang,asanten
Nnayo, chaser raffine, manual, inatumika kuwapeleka watoto shule na kuwarudisha. Ipo Arusha, if interested; 0 754 754 593
ndugu wanajamii,naweza kupata kagari kadogodogo kama starlet glanza,duet na nyingine dzain iyo kwa million 4 ?? au yoyote nzuri,mafuta kuanzia km14/RTL kwenda juu, na iwe ktk condition nzuri body safi na engine I we vizur na so kimeo,kama unayo npm or text 0756664797 ,wale wenye kejeli na dharau bora usichangie chochote hutonibadilisha kamwe kwa maneno yako cz mil 4 ndo uwezo Wang,asanten
asanteh kichomiz,iyo chaser inabugia mafuta balaaUsimuingize choo cha kike mwenzio fuel consuption inafika 14 klm per lt?
Hongera,hatua hiyo ndugu