Mbna umemtajia toyota tu?!harrier tako la nyani, Rav 4 miss Tanzania, Kluger
Naombeni ushauri, ninahitaji gari ya 25M lakini napendelea gari nzuri na iwe nzito barabarani inayotulia isihame.
Maana nilizoea magari mazito ya chini ila sasa hivi nahitaji gari la juu kidogo ambayo hata kwenye rough road haitonisumbua kuchanja mbuga.
Nawasilisha kwenu.
Hakuna zaidi BMW X3 machineNaombeni ushauri, ninahitaji gari ya 25M lakini napendelea gari nzuri na iwe nzito barabarani inayotulia isihame.
Maana nilizoea magari mazito ya chini ila sasa hivi nahitaji gari la juu kidogo ambayo hata kwenye rough road haitonisumbua kuchanja mbuga.
Nawasilisha kwenu.
Chukua hii machine.. Hutajutaa.View attachment 1262797
Ile SUV subaru forester tamu sana alafu ni milioni 20 tu hizo tano utatumia kui pimp gari kama kuifunga rim kali na mziki mneneChukua X trail axis au Subaru Forester 2009
Hili gari linauzwa 20M pekee. Sikudhani,nilijua ni zaidi ya 26M ukoIle SUV subaru forester tamu sana alafu ni milioni 20 tu hizo tano utatumia kui pimp gari kama kuifunga rim kali na mziki mnene
20 hadi 19 hizo 26 anapigwa mbwiga akitoka mkoani huko anayesema nna milioni 26 nataka gari wahuni wana mbutua tena wahuni wanakwambia tunakukatia na bima kumbe wanakukatia bima ile ndogo ukahangaike nayo ha ha ha haHili gari linauzwa 20M pekee. Sikudhani,nilijua ni zaidi ya 26M uko
Sema mkuu hii mipira ya ulaya inawasha sana taa za check ingine kwa barabara zetu hizi ukiitia BM kwenye dimbwi la maji tu inajambaKaa kwenye bmw au vw utatulia na utajisikia raha, kwa bajeti hyo uloitaja naungana na wadau hapo x3 itakua poa kwako au ongezea kidogo uje kwenye tourage!
Na kidoogo itakayobaki kwny hio 5m ni ya kutombe.a tu.Ile SUV subaru forester tamu sana alafu ni milioni 20 tu hizo tano utatumia kui pimp gari kama kuifunga rim kali na mziki mnene