Gari nzuri ni ipi kwa bajeti ya 25M

Gari nzuri ni ipi kwa bajeti ya 25M

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Naombeni ushauri.

Ninahitaji gari ya 25M lakini napendelea gari nzuri na iwe nzito barabarani inayotulia isihame, maana nilizoea magari mazito ya chini ila sasa hivi nahitaji gari la juu kidogo ambayo hata kwenye rough road haitonisumbua kuchanja mbuga.

Nawasilisha kwenu.
 
Katafute Forester
Naombeni ushauri, ninahitaji gari ya 25M lakini napendelea gari nzuri na iwe nzito barabarani inayotulia isihame.

Maana nilizoea magari mazito ya chini ila sasa hivi nahitaji gari la juu kidogo ambayo hata kwenye rough road haitonisumbua kuchanja mbuga.

Nawasilisha kwenu.
 
Chukua hii machine.. Hutajutaa.
14b838447462acea5a560c4f687b60b5.jpeg
 
Hili gari linauzwa 20M pekee. Sikudhani,nilijua ni zaidi ya 26M uko
20 hadi 19 hizo 26 anapigwa mbwiga akitoka mkoani huko anayesema nna milioni 26 nataka gari wahuni wana mbutua tena wahuni wanakwambia tunakukatia na bima kumbe wanakukatia bima ile ndogo ukahangaike nayo ha ha ha ha
 
Kaa kwenye bmw au vw utatulia na utajisikia raha, kwa bajeti hyo uloitaja naungana na wadau hapo x3 itakua poa kwako au ongezea kidogo uje kwenye tourage!
 
Kaa kwenye bmw au vw utatulia na utajisikia raha, kwa bajeti hyo uloitaja naungana na wadau hapo x3 itakua poa kwako au ongezea kidogo uje kwenye tourage!
Sema mkuu hii mipira ya ulaya inawasha sana taa za check ingine kwa barabara zetu hizi ukiitia BM kwenye dimbwi la maji tu inajamba
 
Back
Top Bottom